Mwanzo
Nasibu
Ingia
Mipangilio
Donate Now
If this site has been useful to you, please give today.
Kuhusu Wiktionary
Kanusho
boxer
Lugha
Fuatilia
Hariri
Kiswahili
hariri
Nomino
hariri
bondia
Mtu anayeshiriki katika mchezo wa masumbwi; mpiganaji wa ngumi.
Bondia huyo alishinda pambano kwa nokaute katika raundi ya pili.
Umoja:
bondia
Wingi:
mabondia
Tafsiri:
Kiingereza
:
boxer