Kiswahili

hariri
ina makala kuhusu:

Nomino

hariri
  1. Wilaya katika mkoa wa Lindi nchini Tanzania.
  2. Mji ambao ni makao makuu ya wilaya hiyo unajulikana kama Kilwa Masoko.
  3. Kisiwa na eneo la kihistoria linalojulikana kama Kilwa Kisiwani, ambalo lilikuwa kitovu cha biashara katika Pwani ya Waswahili.

Tafsiri

hariri