Karne ya 8 KK

karne

Karne ya 8 KK (= kabla ya Kristo) ni kipindi cha miaka mia kuanzia tarehe 1 Januari 800 KK na kuishia tarehe 31 Desemba 701 KK.

Wakati wa karne ya 8 KK

hariri

Matukio

hariri
Sanamu ya shaba ya Mbwamwitu wa Kapitoli pamoja na watoto pacha Romulo na Remo, walioongezwa katika karne ya 15. Hadithi inadai ndio waanzilishi wa Roma.
Sargon II, mfalme wa Asiria, aliyekomesha ufalme wa Israeli.

Viungo vya nje

hariri
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Karne ya 8 KK kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.