Kihispania

hariri

Nomino

hariri

waflera

  1. kifaa cha umeme kinachotumiwa kuokea mikate ya wafe.

Tafsiri

hariri
  • Kiswahili: chombo cha kuokea wafe
  • Kiingereza: waffle maker, waffle iron
  • Kifaransa: gaufrier