machine learning
Kiingereza
haririNoun
hariri(Wingi; -)
- Ni maneno ya Kiingereza yanayomaanisha sehemu ya akili mnemba ambapo mifumo ya kompyuta hutumia data kujifunza na kuboresha utendaji bila kupewa maelekezo ya moja kwa moja.
Tafsiri
hariri- Kiswahili; ujifunzaji wa mashine