Kiingereza

hariri

Nomino

hariri
  1. tamaa ya nguvu ya ngono au mali; hamu kali isiyodhibitika

Kitenzi

hariri
  1. kutamani kwa nguvu ngono au kitu kingine

Tafsiri

hariri