Kiingereza

hariri

Nomino

hariri
  1. mwalimu mkuu wa shule; mtu anayesimamia shughuli zote za shule, hasa katika shule za msingi au sekondari
  2. (hasa Uingereza) mwanaume anayehusika na uongozi wa kitaaluma na kiutawala wa taasisi ya elimu

Tafsiri

hariri