Kiingereza

hariri

Nomino

hariri
  1. kitendo cha kubagua au kutendea watu kwa njia isiyo ya haki kulingana na sifa fulani (mfano: rangi, jinsia, dini)
  2. utofoautishaji wa makini kati ya vitu viwili au zaidi

Tafsiri

hariri


Ingizo hili ni fupi linahitaji mtu wa kuliboresha. Unaweza kuisadia Wikamusi kwa kuongezea maarifa zaidi.