Kiingereza

hariri

nomino

hariri

(wingi; alligators)

  • Matamshi*: /ˈæl.ɪˌɡeɪ.tər/
  1. mnyama mkubwa wa majini mwenye meno makali na ngozi ngumu, anayefanana na mamba, anayepatikana hasa Marekani na China.

Tafsiri

hariri