Kiswahili

hariri

Nomino

hariri

Ngeta

  1. ni kitendo cha mhalifu (mara nyingi akitokea nyuma) kumkaba mtu shingo kwa kutumia mkono wake, kwa namna ambayo inamzuia mhanga kupiga kelele au kupumua vizuri, ili kumnyang'anya mali (kama simu, pochi, au
cheni).

= Mfano

hariri

""Jana usiku jamaa alipigwa ngeta kule kichochoroni, wakamuibia kila kitu."

Tafsiri

hariri