Kipate
Kiswahili
haririNomino
hariri(ngeli: ki-vi)
- Lahaja ya Kiswahili inayozungumzwa katika kisiwa cha Pate katika fungu la visiwa vya Lamu nchini Kenya.
- Mtindo, asili, au utamaduni unaohusiana na watu wa kisiwa cha Pate.
Etimolojia
haririNeno linatokana na jina la kisiwa hicho "Pate" likiambatishwa na kiambishi awali cha lugha cha Kiswahili "Ki-".
