Mikoa ya Eritrea ni ngazi ya kwanza ya ugatuzi nchini Eritrea. Iko sita:

Debub Region
Regions of Eritrea
Mikoa[1]
Mkoa Namba katika ramani Wakazi Eneo

(km²)

Makao makuu Gavana ISO code Mkoa wa awali
Maekel,
Central

ዞባ ማእከል
إقليم المركزية

1 1,053,254 1,300 Asmara Ramadan Osman Awliyai ER-MA Hamasien
Mkoa wa Anseba,
Anseba

ዞባ ዓንሰባ
إقليم عنسبا

2 893,587 23,200 Keren Ali Mahmoud ER-AN Senhit, Hamasien
Gash-Barka,
Gash-Barka

ዞባ ጋሽ ባርካ
منطقة القاش وبركا

3 1,103,742 33,200 Barentu Musa Raba ER-GB Barka, Gash-Setit, Seraye, Hamasien
Debub Region,
Southern

ዞባ ደቡብ
المنطقة الجنوبية

4 1,476,765 8,000 Mendefera Efrem Gebrekristos ER-DU Seraye, Akele Guzay, Hamasien
Mkoa wa Bahari Nyekundu Kaskazini,
Semienawi Keyih Bahri
ዞባ ሰሜናዊ ቀይሕ ባሕሪ

منطقة البحر الأحمر الشمال
5 897,454 27,800 Massawa Osman Omar Mohammed ER-SK Semhar, Sahel, Akele Guzay, Hamasien
Mkoa wa Bahari Nyekundu Kusini,
Debubawi Keyih Bahri

ዞባ ደቡባዊ ቀይሕ ባሕሪ
منطقة البحر الأحمر الجنوب

6 398,073 27,600 Assab Tsegereda Woldegergish ER-DK Denkalia

Marejeo

hariri
  1. "Population of Eritrea". National Statistics and Evaluation Office, Eritrea. 2005. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 Novemba 2016. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)