Mahmoud Ag Aghaly
Mahmoud Ag Aghaly (jina lake la mwisho pia huandikwa Ghaly au Ghali) ni mwanasiasa wa Azawad.
Aliwahi kuwa rais wa ofisi ya kisiasa ya National Movement for the Liberation of Azawad (MNLA) na pia rais wa kamati ya utendaji iliyokuwa ikiongoza dola iliyojitangaza ya Azawad kuanzia 6 Aprili 2012.[2]
Muhula wake ulimalizika tarehe 15 Juni 2012, na nafasi yake ikachukuliwa na Bilal Ag Acherif.[3]
Kabala ya kuingia kwenye siasa, Aghaly alikuwa mwalimu na mfanyabiashara.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "northafricaunited - Promising insurance" (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2026-05-16.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mahmoud Ag Aghaly kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |