Luís Boa Morte
Luís Boa Morte Pereira (matamshi ya Kireno: [luˈiʒ ˈβoɐ ˈmɔɾtɨ]; alizaliwa 4 Agosti 1977) ni kocha wa soka kutoka Ureno na mchezaji wa zamani wa kulipwa aliyekuwa akicheza kama winga mshambuliaji, mshambuliaji na kiungo wa kati.

Kwa sasa ni kocha msaidizi wa Thomas Reis katika klabu ya Samsunspor.
Mafanikio
haririMarejeo
hariri- ↑ https://www.sporting-heroes.net/football/arsenal-fc/luis-boa-morte-8388/biography_a11062/
- ↑ https://www.sporting-heroes.net/football/west-ham-united-fc/luis-boa-morte-8388/premiership-appearances-for-the-hammers_a27674/
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Luís Boa Morte kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |