Lockheed Martin
Lockheed Martin ni kampuni ya Marekani ambayo hutengeneza ndege na makombora ya kijeshi. Ina pia kitengo cha kutengeneza vyombo vya anga-nje, kama Orion inayokusudiwa kusafiri hadi Mwezi na sayari ya Mirihi.

Mnamo mwaka wa 2011 ilizalisha faida ya dolar bilioni 2.6. Makao makuu ya kampuni ya Lockheed Martin yako mjini Bethesda, Maryland.
Mifano ya teknolojia ya Lockheed-Martin
haririMarejeo
haririTovuti nyingine
hariri| Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lockheed Martin kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |