• Mwanzo
  • Nasibu
  • Karibu
  • Ingia
  • Mipangilio
Donate Now If Wikipedia is useful to you, please give today.
  • Kuhusu Wikipedia
  • Kanusho
Wikipedia

Karauno

  • Lugha
  • Fuatilia
  • Hariri

Karauno (pia: Caraunus, Caranus, Caro, Chéron; alifariki Chartres, leo nchini Ufaransa, karne ya 5 hivi) alikuwa shemasi wa Roma aliyeinjilisha sehemu mbalimbali za nchi ya Galia[1].

Sanamu yake kati ya malaika.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 28 Mei[2].

Tazama pia

hariri
  • Watakatifu wa Agano la Kale
  • Orodha ya Watakatifu Wakristo
  • Orodha ya Watakatifu wa Afrika
  • Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
  • Orodha ya Watakatifu Waaugustino
  • Orodha ya Watakatifu Wabazili
  • Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
  • Orodha ya Watakatifu Wadominiko
  • Orodha ya Watakatifu Wafransisko
  • Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
  • Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
  • Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
  • Orodha ya Watakatifu Wamersedari
  • Orodha ya Watakatifu Waoratori
  • Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
  • Orodha ya Watakatifu Wapremontree
  • Orodha ya Watakatifu Waredentori
  • Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
  • Orodha ya Watakatifu Waskolopi
  • Orodha ya Watakatifu Wateatini
  • Orodha ya Watakatifu Watrinitari
  • Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
  • Orodha ya Watakatifu Wavinsenti

Tanbihi

hariri
  1. ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/54960
  2. ↑ Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Karauno&oldid=1536046"
Ilihaririwa mwisho mnamo 7 Mei 2026, 10:18

Lugha

    • English
    • Italiano
    Wikipedia
    • Wikimedia Foundation
    • Powered by MediaWiki
    • Ukurasa huu umebadilishwa kwa mara ya mwisho tarehe 7 Mei 2026, saa 10:18.
    • Ukurasa ulitolewa kwa Parsoid.
    • Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo.
    • Sera ya faragha
    • Kuhusu Wikipedia
    • Kanusho
    • Kanuni ya Maadili
    • Watengenezaji
    • takwimu
    • Taarifa ya kuki
    • Masharti ya matumizi
    • Dawati