Kanuti IV
Kanuti IV (maarufu kwa Kidani kama "Knud den Hellige", yaani "Kanuti mtakatifu", 1043 - Odense, 10 Julai 1086), alikuwa mfalme wa Udani kuanzia mwaka 1080 hadi siku ya kuuawa.

Pamoja na utakatifu wake, alionyesha bidii kubwa kwa ajili ya ibada na mahitaji ya wakleri pamoja na uimarishaji wa mamlaka yake ndani na nje ya nchi[1].
Baada ya kuanzisha makanisa ya Lund na Odense, aliuawa ndani ya hilo, mbele ya altare, pamoja na watu wengine 8 au 18.
Wananchi walimheshimu mara moja kama mtakatifu, na Papa Paskali II alithibitisha heshima hiyo mwaka 1101.
Tazama pia
hariri- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Tanbihi
hariri| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kanuti IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |