Julia Grabher
Julia Grabher (amezaliwa tarehe 2 Julai 1996) ni mchezaji wa kulipwa wa tenisi kutoka Austria. Tarehe 26 Juni 2023 alifikia nafasi yake ya juu zaidi katika viwango vya ubora duniani kwa mchezo wa mmoja mmoja, akiwa namba 54 duniani. Tarehe 29 Agosti 2016 alifikia nafasi ya 387 katika viwango vya mchezo wa wawili wawili.[1]
Marejeo
hariri- ↑ ["Julia Grabher | Player Stats & More – WTA Official". Women's) Tennis Association. Iliwekwa mnamo 2023-04-06.
{{cite web}}: Check|url=value (help)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Julia Grabher kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |