Jan Brett

Mchoraji na mwandishi wa watoto wa Marekani

Jan Brett (alizaliwa 1 Desemba 1949) ni mchoraji na mwandishi wa vitabu vya picha vya watoto kutoka Marekani. Vitabu vyake ni pamoja na The Mitten The Hat, na Gingerbread Baby pamoja na kusimulia tena hadithi za kitamaduni kama vile Gingerbread Man na Goldilocks[1].

Marejeo

hariri
  1. "This Children's Book Legend Has Her Own Tour Bus, & We Rode Along". Romper (kwa Kiingereza). 2019-12-10. Iliwekwa mnamo 2025-05-28.