Iván Campo
Iván Campo Ramos (amezaliwa 21 Februari, 1974) ni mchezaji wa zamani wa kulipwa wa mpira wa miguu kutoka Hispania.
Awali alikuwa akicheza kama beki wa kati (centre-back), lakini baadaye katika maisha yake ya soka alianza kucheza kama kiungo mkabaji (defensive midfielder).[1]
Marejeo
hariri- ↑ Pérez de Guereñu, Aitor (21 Februari 2017). "Iván Campo, aquel central melenudo que jugó en el Alavés" [Iván Campo, that hairy stopper who played in Alavés] (kwa Kihispania). Vavel. Iliwekwa mnamo 25 Januari 2019.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Iván Campo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |