Donald Freed (aliyezaliwa mwaka 1949 huko New Westminster) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka nchini Kanada anayejulikana zaidi kwa kazi zake kuhusu maisha kwenye Prairies za Kanada za Magharibi mwa Kanada na hasa katika jimbo la Saskatchewan.[1][2]

Marejeo

hariri
  1. "Canada's Children Find their Voices", Billboard, August 12, 2000, page 77.
  2. Dan Zakreski (Jan 20, 2019). "Sask. folk singer who played with the greats helped connect Indigenous kids to their culture". CBC News.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Don Freed kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.