Christy Walton
Christy Ruth Walton (Alizaliwa Februari 8, 1949) ni mrithi bilionea na mfadhili nchini Marekani kutoka familia ya Walton. Yeye ni mjane wa John T. Walton, ambaye alikuwa mmoja ya wana wa mwanzilishi wa Walmart ambaye alikuwa ni Sam Walton[1][2].
Marejeo
hariri- ↑ "WalMart heir dies in plane crash". Fox News. Associated Press. Juni 28, 2005. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Julai 19, 2013. Iliwekwa mnamo Desemba 1, 2013.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Dolan, Kerry A. (Machi 2, 2015). "The Richest Women In The World 2015". Forbes. Iliwekwa mnamo Aprili 25, 2019.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Christy Walton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |