Christine Adjobi

Mwanasiasa na Daktari wa Ivory Coast

Aya Christine Adjobi Nebout (amezaliwa 24 Julai, 1949) ni mwanasiasa na daktari kutoka Ivory Coast. Yeye ni mwanachama wa Ivorian Popular Front (FPI), na ni Waziri wa Mapambano Dhidi ya AIDS katika serikali ya Guillaume Soro. Mnamo mwaka 2002–2003, wakati wa First Ivorian Civil War, Dkt. Adjobi aliwahi kuwa Waziri-Msaidizi wa Mapambano Dhidi ya UKIMWI.[1]

Marejeo

hariri
  1. "afdevinfo.com" Archived 2008-12-03 at the Wayback Machine, accessed March 22, 2009
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Christine Adjobi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.