Arthur Christian Holder (18 Juni 194918 Februari 2025) alikuwa msanii wa Uingereza-Trinidad aliyefanya kazi katika nyanja mbalimbali, kama baba yake Boscoe Holder. Alikuwa mwanadensi, mtunzi wa densi, muigizaji, mwalimu, mbunifu wa mavazi, mwandishi, mchoraji, na mwimbaji.

Anajulikana zaidi kwa kuwa mmoja wa wanadensi mashuhuri wa kampuni ya Joffrey katika miaka ya 1970, na huenda katika historia yake yote. [1][2][3][4][5]

Marejeo

hariri

{{reflis}}

  1. Sheri Candler, "Christian Holder reflects on his years in the Joffrey", Joffrey: Mavericks of American Dance. "Joffrey Ballet documentary about the first truly American company. History of the Joffrey Ballet. | Joffrey Movie". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2 Juni 2015. Iliwekwa mnamo 1 Juni 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Sid Smith, "Recalling the glamor, activist days of the Joffrey", Chicago Tribune, 27 August 2006.
  3. Christian Holder, "Rant & Rave: When Reviving Becomes Revising" Archived 1 Mei 2015 at the Wayback Machine, Dance Magazine, December 2013.
  4. Levin Houston, "Joffrey Ballet strengthens impression at Wolf Trap", The Free Lance-Star, 8 July 1972: "(...) again the magnificent negro dancer, Christian Holder, gives his chilling performance as Death...."
  5. Rachel Straus, "Kurt Jooss: The founding father of Tanztheater", Dance Teacher, 29 August 2011.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Christian Holder kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.