Cheikhou Kouyaté
Cheikhou Kouyaté (alizaliwa 21 Desemba, 1989) ni mchezaji wa kulipwa wa mpira wa miguu kutoka Senegal anayechukua nafasi ya kiungo wa ulinzi au beki wa kati katika timu ya taifa ya Senegal.
Kouyaté alihamia kutoka Senegal kwenda Ubelgiji mwaka 2006 baada ya kupewa mkataba wa vijana na RWDM Brussels FC. Alicheza mechi kumi kabla ya kuhamia R.S.C. Anderlecht akiwa na umri wa miaka 19, ambako alicheza jumla ya mechi 206 na kushinda Belgian First Division A mara nne. Mnamo Juni 2014, alijiunga na West Ham United F.C. ya Ligi Kuu ya Uingereza, na miaka minne baadaye alihamia Crystal Palace kwa ada inayokadiriwa kuwa pauni milioni 9.5.
Kazi ya klabu
haririKazi ya kimataifa
haririMarejeo
hariri- ↑ FC BRUSSELS Players Archived 30 Aprili 2009 at the Wayback Machine on www.rwdm-brussels.be
- ↑ Cheikhou Kouyaté moet van de rechter naar Anderlecht Archived 4 Agosti 2009 at the Wayback Machine on www.nieuwsblad.be
- ↑ "Kouyaté, Mané lead Senegal to victory". African Football. 5 Septemba 2015. Iliwekwa mnamo 20 Mei 2022.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Senegal Africa Cup of Nations Winners". Sky Sports. Iliwekwa mnamo 6 Februari 2022.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Cheikhou Kouyaté kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |